VIONGOZI WANAO HAMASISHA KILIMO CHA BANGI KUCHUKULIWA HATUA







VIONGOZI wanao pinga utekerezaji wa miradi ya mendeleo ya wananchi katika maeneo yao huku wakihamasisha wananchi kuendeleza kilimo cha zao halamu la bangi wilayani Tarime mkoani mara kuchukuliwa hatua kali za kisheria

kauli hyo imetolewa na kiongozi wa mbio za mwenge wa uhuru kitaifa mwaka 2017 AMOUR AHAMAD AMOUR wilayani Tarime 

Pia kiongozi wa huyo wa mbio za mwenge wa uhuru  amewapongeza wajasilia mali wawili Kisangure Thomas na Fausten Hamisi walio dhubutu na kuamua kuungana pamoja katika kuanzisha mradi wa Hoteli ya kisasa ya kifa best point Hotel ambayo  imetoa ajira kwa  watu zaidi ya 40 wilayani Tarime

Jumla ya magunia 35 ya bangi kavu yameteketezwa kwa moto katika Halmashauri ya mji wa Tarime
Mwisho

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

KIJIJI CHA KERENDE CHAKABIDHIWA BARABARA YA TSH MILIONI 26-TARIME

MAUAJI YAENDELEA NYAMONGO