VIONGOZI WANAO HAMASISHA KILIMO CHA BANGI KUCHUKULIWA HATUA
VIONGOZI wanao pinga utekerezaji wa miradi ya mendeleo ya wananchi katika maeneo yao huku wakihamasisha wananchi kuendeleza kilimo cha zao halamu la bangi wilayani Tarime mkoani mara kuchukuliwa hatua kali za kisheria kauli hyo imetolewa na kiongozi wa mbio za mwenge wa uhuru kitaifa mwaka 2017 AMOUR AHAMAD AMOUR wilayani Tarime Pia kiongozi wa huyo wa mbio za mwenge wa uhuru amewapongeza wajasilia mali wawili Kisangure Thomas na Fausten Hamisi walio dhubutu na kuamua kuungana pamoja katika kuanzisha mradi wa Hoteli ya kisasa ya kifa best point Hotel ambayo imetoa ajira kwa watu zaidi ya 40 wilayani Tar ime Jumla ya magunia 35 ya bangi kavu yameteketezwa kwa moto katika Halmashauri ya mji wa Tarime Mwisho