WATUMISHI 4 WATIWA ADABU TARIME

BARAZA la madiwani wa Halmashauri ya mji wa Tarime mkoani mara  lawatia adamu watumishi wanne wa halmashauri hiyo akiwemo afisa utumishi mwandamizi  kushushwa ngazi ya mshahara.

 Maamuzi hayo yamefikiwa katika kikao cha baraza la madiwani kilicho fanyika wilayani Tarime jana tarehe 16/08 /2017

Akizungumza katika kikao hicho cha baraza  mwenyekiti wa Halmashauri ya mji wa Tarime Hamisi Nyanswi amewataja watumishi hao  na kueleza maamuzi yaliyo fikiwa na baraza hilo

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

KIJIJI CHA KERENDE CHAKABIDHIWA BARABARA YA TSH MILIONI 26-TARIME

MAUAJI YAENDELEA NYAMONGO

VIONGOZI WANAO HAMASISHA KILIMO CHA BANGI KUCHUKULIWA HATUA