KIJIJI CHA KERENDE CHAKABIDHIWA BARABARA YA TSH MILIONI 26-TARIME
KAIMU MENEJA WA KAMPUNI YA ABG NORTH MARA BW MARC LUTY AKIKATA UTEPE WA BARABARA NA KUKABIDHI KWA M/KITI WA KIJIJI CHA KERENDE-TARIME WANANCHI WA KIJIJI CHA KERENDE NA VIONGOZI WA ABG NORTH MARA WAKIKAGUA BARABARA Katika harakati za kujenga mahusiano mazuri na jamii inayo zunguka mgodi wa dhahabu wa NORTHI MARA. Kampuni ya kuchimba madini ya dhahabu ABG NORTH MARA iliyopo nyamongo wilayani tarime mkoani mara imekamilisha ujenzi wa barabara yenye urefu wa kilometa moja na nusu yenye thamani ya shilingi milioni 26 za kitanzania na kuikabidhi kwa uongozi wa kijiji cha kerende wilayani humo Akikabidhi barabara hiyo kaimu meneja wa kampuni hiyo BW MARC LUYT amesema kwamba kampuni imejenga barabara hiyo kwa maombi maalum yaliyo letwa na uongozi wa kijiji hicho kwa kuona kwamba ndicho kipaumbele chao wanacho kitaka, kampuni iwasaidie. Pamoja na kujenga barabara hiyo kaimu meneja wa kampuni hiyo BW MARC LUTY amesema kwam...
Maoni
Chapisha Maoni