ZAIDI YA MBWA ELFU 15 WAMECHANJWA
TARIME
Na Jumanne Ntono -Tarime Mara
28/09/2014
Ili
kupunguza au kutokomeza kabisa ugonjwa wa kichaa cha mbwa wilayani tarime
mkoani mara Zaidi ya mbwa elfu 15,000 wilayani humo wamepata chanjo ya kuzuia kichaa cha mbwa kwa mwaka 2014
HT vo – Jumanne Ntono – mara
Akiongea
katika maadhimisho ya siku ya kichaa cha mbwa duniani ambayo kiwilaya
yamefanyika katika kata ya matongo kaimu dakitali wa mifugo wa wilaya ya tarime Shukumu
Tuke Olemoringata ameeleza lengo la
chanjo hiyo na kusesema kwamba kuanzia mwezi wa tatu mpaka siku ya kilele wamechanja
mbwa na paka zaidi ya elfu 16,000 sawa na asilimia 90
Inset- Shukumu Tuke Olemoringata –kaimu daktari wa mifugo wa wilaya
Pia dokita Shukumu akatoa wito kwa wafugaji wa wanyama
hao
Inset 2 - Shukumu Tuke Olemoringata -
kaimu daktari wa mifugo wa wilaya
Nao baadhi
ya wafugaji wa mbwa na paka walio leta mifugo yao kuchanjwa wameipongeza serikali
kwa kuchanja mifugo hiyo na kueleza kwamba kutokana na zoezi hilo wataepukana na gharama kubwa za kuwatibu watu walio kuwa
wanaumwa na mbwa wa ugonjwa wa kichaa
VOX – Ayubu
Rugoe,Grace Chacha Mare Makare - wafugaji
Idara ya
mifugo na uvuvi kwa kushirikiana na
Senapa ambao wamekuwa wakitoa fadha kwa ajiri ya kichaa cha mbwa wanaendelea
kusisitiza chanjo ya kichaa cha mbwa katika wilaya nzima hasa katika vijiji
vinavyo pakana na hifadhi ya wanyama
poli ya Serengeti
……………………………………………..Mwisho
……………………………………………………………
Maoni
Chapisha Maoni