MKOA WA MARA
WAENDELEA KUONGOZA KWA VITENDO VYA UNYANYASAJI WA KIJINSIA
Na Jumanne Ntono -Tarime Mara
Pamoja na jitihada kubwa ya serikali
na taasisi mbalimbali zisizo za kiserikali hapa nchini kutoa elimu ya kupinga
vitendo vya ukatiri na unyanyasaji wa kijinsia katika mkoa wa mara bado mkoa huo unaongoza kwa vitendo hivyo
hapa nchini
Takwmu zilizo fanywa na ofisi
ya takwimu ya taifa kuhusu vitendo vya ukatiri unyanyasaji wa kijinsia hapa nchini mwaka 2012
hadi 2015 unaonyesha mkoa wa mara unaongoza kwa asilimia 72 ukifuatiwa na mkoa
wa dododma wenye asilimia 71
HT VO -Jumanne Ntono –
- Tarime Mara
Kutokana na hali hiyo taasisi ya Nyumbani kwanza media group, iliyopo nyamongo wilayani Tarime mkaoani
Mara. kwa kutambua Athari na ukubwa wa tatizo la ukatiri na unyanyasaji wa
kijinsia katika mkoa Mara imefanya tamasha na maandamano Makubwa katika mji wa
nyamongo na kutoa tamko la kupinga
vitendo hivyo kama anavyoeleza mwenyekiti
wa taasisi hiyo Bw Rajabu Bina
na mkugenzi wa taasisi hiyo Bi Mossy
Magere
Vox 2 - Rajabu Bina –
mwenyekiti. Na Bi Mossy Magere
mkurugenzi wa Nyumbani kwanza Media Group
Kwa upande wake mgeni rasmi wa tamasha hilo kamanda wa
polisi kanda maalum ya tarime na rorya kamishina msaidizi wa polisi Lazaro
Mambosasa ameeleza kwamba ili kukomesha vitendo vya ukatiri na unyanyasaji
wa kijinsia ni vyema wananchi
wakashirikiana na jeshi la polisi katika kutoa taarifa kuhusu vitendo hivyo
Inset- Lazaro
Mambosasa- ACP kanda maalum ya tarime na rorya
Vitendo vya ukatiri na unyanyasaji wa kijinsia vinavyo
jitokeza mara kwa mara katika mkoa wa mara na kusababisha mkoa huo kuongoza kwa
vitendo hivyo ni vipigo kwa wanawake
ndoa za utotoni na ukeketaji
………………………………….mwisho……………………………………………..
Maoni
Chapisha Maoni