RADI YAUWA MMOJA RORYA WAWILI WANUSURIKA NYUMBA TATEKETEA
BI GRACE kADOGO NA REBEKA CHACHA MANUSURA WA TUKIO LA RADI |
MWILI WA MAREHEMU CHACHA SABURE ALIE PIGWA NA RADI NA KUUGULIA NDANI YA NYUMBA WILAYANI RORYA MKOANI MA |
21/10/2014
Mtu mmoja ameuawa kwa kupigwa na radi huku mwili wake
,nyumba na vitu
WANANCHI WA KIJIJI CHA RANDA WILAYANI RORYA MKOANI MARA | WAKISHUHUDIA NYUMBA ILIYO TEKETEZWA NA RADI |
Mtu huyo alie julikana
kwa jina la chacha sabure mwanaume mwenye
umri uliokadiliwa kuwa na zaidi ya miaka 70 mkazi wa kitongoji cha masara katika
kijiji cha randa wilayani rorya mkoani mara amekumbwa na mauti hayo juzi usiku tarehe 20/10/2014 baada
ya kupigwa na radi akiwa amelala nyumbani kwake huku watu wawili ambao ni Grace Kadogomiaka 32 na mtoto Rebeka chacha miaka saba waliokuwemo ndani
ya nyumba hiyo wakinusurika kifo,
Maoni
Chapisha Maoni