MIAKA 40 YA KUZALIWA KWA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM -MARA
MIAKA 40 YA CCM
NA JUMANNE NTONO –MARA
06/02/207
CHAMA cha
mapinduzi CCM mkoa wa mara kimeadhimisha miaka 40 ya kuzaliwa kwa chama hicho
kwa kuwataka wanachama kutumia maadhimisho hayo kama njia ya kuwakemea wale wote wanao
kwenda kinyume na taratibu za chama na yawakumbushe kufanya kazi kwa vitendo kama ilivyo kauli ya Mh Rais
Magufuli ya hapa kazi tu
hayo
yameelezwa na mkuu wa mkoa wa mara Dr Charles Mlingwa katika maadhimisho ya
miaka 40 ya kuzaliwa kwa chama cha mapinduzi ccm ambayo kwa mkoa wa mara yamefanyika wilayani
Tarime
TAARIFA YAKE, JUMANNE NTO,NKUTOKA
MKOANI MARA INAFAFANUA ZAIDI
Akitoa salam
za serikali katika maadhimisho ya miaka 40 ya kuzaliwa kwa CCM mkuu wa mkoa wa mara Dr Charles Mlingwa anasema
kwamba niwakati wa wanachama wa chama
cha mapinduzi kuendelea kuungana na wananchi wote kufanya kazi na kuleta maendeleo katika,mkoa wa mara
Inset –Dr Charles Mlingwa- Mkuu wa mkoa wa mara
Pi Dr
Mlingwa akawakemea watu wanao kwamisha miradi ya maendeleo kwa wananchi wa mkoa wa mara
Inset – 2 Dr Charles Mlingwa- Mkuu wa mkoa wa mara
kwa upande
wake mwenyekiti wa ccm mkoa wa mara ,Christopher Mwita Sanya anawataka
wanachama wa ccm katika mkoa huu,kuyatumia maadhimisho haya kwa kujenga mshikamano wa chama,kwa vitendo
Inset 3 Christopher mwita sanya- mwenyekiti wa ccm mkoa wa mara
wanachama wa
ccm nao wakazungumzia maadhimisho haya
Vox -1-Beatrice Manoga – mjumbe wa baraza la umoja wa vijana ccm mkoa wa mara
2-Samwel Kiboye –mwenyekiti wa ccm wilaya ya Rorya
mwisho
Maoni
Chapisha Maoni