Ili kupunguza m ambukizi mapya ya virusi vya ukimwi wilayani Rorya mkoani Mara wananchi wametakiwa kuepukana na mira potofu na kumrudia mungu Wito huo umetolewa na mwenyekiti wa umoja wa makanisa ya kikristo mkoa wa dar es salaam mchungaji HALSON MUMANYI kwenye hitimisho la mahubiri ya siku nane yaliyo endeshwa na shiriks la NEW LIFE CHRIST katika wilaya ya Tarime na Rorya mkoani Mara Mwenyekiti Halson ameeleza kwamba wilaya ya Rorya inamaambukizi makubwa ya virusi vya ukimwi kutoka na wananchi wengi wa wilaya hiyo kuto mrudia mungu Pamoja na watu kumrudia mungu mwenyekiti huyo amewataka wananchi wa wilaya ya Rorya na Tarime waache tabia ya kurithi wake wa marehemu { wajane } kwa madai kwamba wanadumisha mira, kwa kuwa mira hiyo imepitwa na wakati na haina tija tena kwa jamii Nao baadhi ya wananchi na viongozi mbalimbali walio hudhuria mahubiri hayo wamesema kw...
Maoni
Chapisha Maoni